sw_tn/1sa/01/15.md

28 lines
754 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mimi ni mwanamke mwenye roho ya huzuni
"Mimi ni mwanamke mwenye huzuni sana"
# nimemimina nafsi yangu mbele za Bwana
"Namwambia Bwana hisia zangu za ndani"
# mjakazi wako
Hana anajizungumzia mwenyewe kwa kuonesha unyenyekevu.
# nimekuwa nikiongea kutokana na maumivu na masikitiko yangu
Hii ni namna nyingine ya kusema kuwa ana "roho ya huzuni" Hii inaweza kutafsiriwa kama "Ninazungumza kwa sababu nina huzuni sana na hasimu wangu ananidhihaki sana"
# maumivu na masikitiko
Maneno haya yote yanaonesha kuwa Hana amekosa raha na anahuzuni kwa sababu ya kudhihakiwa na Hasimu wake.
# Maumivu
Haya ni mambo ambayo Penina alimfanyia ya kumuumiza.
# Masikitiko
Hana anaelezea maumivu na aibu anayoipata kwa sababu ya namna Hana anavyomfanyia.