sw_tn/1ki/21/25.md

16 lines
326 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ambaye alijiuza mwenyewe kufanya maovu
"alijitoa mwenyewe kufanya maovu"
# maovu mbele ya macho ya BWANA
"kile ambacho BWANA hukiona kuwa ni kiovu"
# ambaye mke wake Yezebeli ... alimchochea
Neno "ambaye" linamwakilisha Ahabu
# akawafukuza mbele ya watu wa Israeli
"akawafukuza kutoka katika uwepo wa watuwa Israeli"