sw_tn/1ki/21/19.md

20 lines
385 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Je, umeua na kujimilikisha?
Umemwua Nabothi na kuiba shamba lake la mizabibu?
# damu yako, ndiyo, damu yako
Neno limerudiwa ili kusisitiza
# Je, umenipatia, adui yangu
"umegundua kile nilichofanya, adui yangu!"
# umejiuza mwenyewe kufanya yaliyo maovu
"umejitoa mwenyewe kufanya yaliyi maovu"
# yaliyo maovu mbele ya macho ya BWANA
"yale ambayo BWANA huyaona kuwa ni maovu"