sw_tn/1ki/18/27.md

32 lines
530 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Labda
"yawezekana" au "inaweza kuwa"
# anapumzika
"bafuni"
# sharti aamushwe
"lazima mwamshe"
# bado walikuwa wakiendelea
"waliendelea na tabia yao isiyo ya kawaida"
# wakati wa jioni wa kutoa dhabihu
kutoa dhabihu ya jioni
# jioni
wakati jua linapoanza kutoweka na giza kuanza kuingia
# lakini hapakuwepo na sauti wala mtu wa kujibu; wala hapakuwepo na yeyote wa kujibu wala wa kuangalia.
"lakini Baali hakusema wala kufanya chochote wala kuangalia"
# lakini hapakuwepo na sauti wala mtu wa kujibu;
Tazama 18:25