sw_tn/1ch/21/21.md

8 lines
283 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# uso wake ukiwa kwenye ardhi
Haya maneno yaeleza kwamba Orinani aliinama mbele zaidi. Kuina mbele za mtu ni njia ya kuonyesha unyenyekevu na heshima. Kuinama zaidi ya onyesha unyenyekevu mkubwa na heshima.
# gharama yote
"Nitalipa gharama yote hili eneo la kupeta lina gharimu"