sw_tn/1ch/21/13.md

28 lines
612 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nipo katika shida kubwa
"Nipo kwenye shida nyingi"
# Acha nianguke katika mikono ya Yahweh kuliko kuangukia mikono ya mwanadamu, sababu matendo yake ya rehema ni makubwa mno
"Acha nije katika utawala wa Yahweh, kuiko chini ya utawala wa watu, kwa kuwa Yahweh ni wa rehema sana"
# na watu elfu sabini wakafa
"na watu 70,000 wakafa"
# kubadili nia yake
Kubadili uamuzi.
# Rudisha mkono wako
Yahweh ana mwambia malaika wa uharibifu kuacha kuua watu.
# malaika wa Yahweh alikua amesimama
Malaika wa Yahweh anaelezwa kama kitu kilicho simama kama mtu anavyo simama.
# Orinani
Hili ni jina la mwanaume.