Kwenye Biblia, neno "milele" la eleza muda usio kwisha. Wakati mwengine la tumika kifumbo kumaanisha, "muda mrefu sana"
* Neno "milelel na milele" la tilia mkazo kwamba kitu kita kuwepo tu.
* Maneno "milele na milele" ni namna ya kueleza umilele au uzima wa milele ni nini. Pia lina wazo la muda usio kwisha.
* Mungu alisema kuwa kiti cha Daudi kitadumu "milele". Hili linahusu ukweli kwamba mzao wa Daudi Yesu ata tawala kama mfalme hadi mwisho.
# Mungu
Katika Biblia, neno "Mungu" la husu kiumbe wa milele aliye umba ulimwengu bila chochote. Mungu yupo kama Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. Jina la Mungu la binafsi ni "Yahweh"
* Mungu amekuwepo daima; amekuwepo kabla ya chochote kuwepo, na ataendelea kuwepo milele.
* Yeye ndie Mungu pekee wa kweli na ana mamlaka juu kila kitu katika ulimwengu.
* Mungu ni mwenye haki kamilifu, wa hekima isiyo na mwisho, mtakatifu, wa haki, wa rehema, na wa upendo.
* Yeye ni Mungu mtunza agano, anaye timiza maagano yake.
* Watu waliumbwa wamuabudu Mungu na ni yeye tu wamuabudu.
* Mungu alirihidhisha jina lake kama "Yahweh" lenye maana ya, "yupo" au "Mimi ndiye" au "Yeye ambaye (daima) yupo."
* Biblia ya fundisha kuhusu "miungu" ya uongo ambayo ni sanamu isio ishi watu waabuduo kwa makosa.
# wokovu
Neno "wokovu" la husu kuokolewa au kukombolewa kutoka kwenye uovu na hatari.
* Katika Biblia, "wokovu" wa husu ukombozi wa kiroho na wa milele unao tolewa na Mungu kwao wanao tubu dhambi zao na kumuamini Yesu.
* Biblia pia ya zungumzia Mungu kuokoa au kukomboa watu kwa adui zao wa mwilini.
# jina
Katika Biblia, neno "jina" linatumika kwa mfumbo kadhaa.
* Baadhi ya Muktadha, "jina" la weza husu sifa ya mtu, kama vile, "acha tujfanyie jina"
* Neno "jina" la weza pia kuhusu kumbukumbu ya kitu. Kwa mfano, "kata majina ya sanamu" maana yake kuharibu hizo sanamu ili kwamba wasiendelee kukumbukwa au kuabudiwa.
Kuzungumza "katika jina la Mungu" ya maanisha kusema kwa nguvu na mamlaka, au kama mwakilishi wake.
* "Jina" la mtu la weza husu huyo mtu kwa ujumla, kama "hakuna jina chini ya mbingu ambalo la tupasa kuokolewa."
# ufukufu
Kwa ujumla, neno "utukufu" la maanisha heshima, uzuri, na ukubwa wa ajabu. Chochote chenye utukufu cha semekana kuwa na "utukufu"
* Wakati mwengine "utukufu" ya husu kitu cha dhamani kubwa na umuhimu. Katika muktadha mengine ina eleza uzuri, mwanga, au hukumu.
* Kwa mfano, msemo "utukufu wa wachungaji" ya husu malisho tele kondoo wao walipo kuwa na nyasi nyingi ya kula.
* Utukufu wa tumika sana kumueleza Mungu, ambaye ana utukufu kuliko mtu au kitu chochote katika ulimwengu. Kila kitu katika tabia yake ya rihidhisha utukufu na uzuri wake.
* Msemo "kufurahia utukufu" una maana ya kugamba kuhusu au kujivunia kitu.
# sifa
Kumsifu mtu ni kuonyesha matamanio na heshima kwa huyo mtu.
* Watu wanamsifu Mungu kwasababu kwa jinsi alivyo mkuu na kwasbabu ya matendo makuu aliyo fanya kama Muumbaji na Mwokozi wa ulimwengu.
* Sifa kwa Mungu muda mwing ya jumuisha kuwa na shukurani kwa aliyo ya fanya.
* Muziki na kuimba mara nyingi ya tumika kama njia ya kumsifu Mungu.
* Kumsifu Mungu ni sehemu ya maana ya kumuabudu.
* Neno "kusifu" la weza tafsiriwa kama, "kumzungumzia vizuri" au "kumheshimu sana kwa maneno" au "kusema mambo mazuri kuhusu"
* Jina "sifa" la weza tafsiriwa kama, "heshima ya kusema" au "hotuba inayo heshimu" au "kuzungumza mambo mazuri kuhusu"