sw_tn/1ch/14/10.md

20 lines
356 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nitawakabidhi kwako
"nitakupa ushindi juu yao"
# Baali Perazimu
Hili ni jina la sehemu
# kwa mkono wangu
Hii ya husu vifaa vya Daudi. "kutumia jeshi langu"
# kama vile mpasuko wa mafuriko ya maji.
Nguvu na ushindi wa jeshi la Daudi wafananishwa na mpasuko wa mafuriko ya maji. "kwa urahisi"
# wateketezwe kwa moto
"kuchoma miungu yao ya uongo"