sw_tn/1ch/08/29.md

8 lines
288 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Baba wa Gibeoni, Jeieli, ambaye mke wake aliitwa Maaka, aliishi ndani ya Gibeoni
Hapa "baba wa" ya husu hali ya Wayahudi kama kiongozi wa mji wa Gibeoni. "Yeieli, kiongozi wa Gibeoni, aliishi Gibeoni. Jina la mkewe lilikuwa Maaka"
# Uzao wake wa kwanza
"mzaliwa wa kwanza wa Yeieli"