sw_tn/1ch/05/18.md

20 lines
416 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Warubeni
Hii ya husu watu kutoka kabila la Rubeni
# Wagadi
Hii ya husu watu kutoka kabila la Gadi
# wana jeshi elfu arobaini na nne
2021-09-10 19:21:44 +00:00
wana jeshi elfu nne "44, 000 soldiers"
2019-05-21 20:17:16 +00:00
# walio beba ngao na upanga, na pinde na mishale
Wanajeshi wanaelezwa kama wenye ujuzi vitani kwa silaha walizo beba. "Walifunzwa kupambana vizuri vitani"
# Wahagri ... Yeturi ... Nafishi ... Nodabu
Haya ni majina ya makundi ya watu.