sw_tn/1ch/03/17.md

12 lines
373 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yehoyakini
Baadhi ya tafsiri zina "Yekonia," ambayo ni mbadala wa "Yehoyakini."
# watekwa
Hii inaweza kuwa cheo kilichopewa Yehoyakini kwasababu alichukuliwa matekani. Ingawa, baadhi ya tafsiri za eleza hilo neno kama "Asiri," jina la mmoja wa wanae.
# YehoYakini ... Shealtieli, Malkiramu, Pedaya, Shenezari, Yekamia, Hoshama, na Nedabia
Haya ni majina ya wanaume.