ndg_job_text_reg/01/01.txt

1 line
387 B
Plaintext

\c 1 \v 1 Kwabile na mundu katika kilambo cha Usu lina lyake Ayubu; na Ayubu abile mwene haki na mkamilifu, yumo yamwabudu Mnungu na epukana na. \v 2 Ulahu babelekwi kwake bana saba halalo mena haenja hatatu. \v 3 Ati miliki ngondoroho elfu saba, ngamia elfu tatu, jazi mia himo za maksai, na mbunda mia hitano na idadi ngolo ya hapanga kachi, mundu huyu habile mundu mkolo wa mashariki.