\v 10 Buli wenga wakunihamini kati mabele na kuniigandisha mfano wa jibini? \v 11 Umeniwalika likongwa na inyama na hunganisha pamope na hiyupa na mikolehe.