bou_sng_text_reg/01/12.txt

2 lines
293 B
Plaintext

\v 12 Ukati mfaume akawa kagona mwe usazi wakwe, malashi yangu yakasawanya halufu.
\v 13 Mpenzi ywangu ni kwangu inga kijauba cha malashi kigonacho nakio mwe matombo yangu. \v 14 Mpenzi wangu ni kwangu inga kabundu ka maua ya hena mwe minda ya mizabibu ya Eni Gedi. Mpenzi ywakwe atamwiia nae.