bou_sng_text_reg/08/06.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 6 Niike kama mhuli kwe moyo wako, savia mhuli he mkono wako, kwa mapenzi yana nguvu inga mauti, mapenzi mazito nkayona kuuyauya kama uitavyo kuzimu, sese zakwe zalipuka, ni sese zazo, ni sese zenye joto kuliko moto wowose.