bou_sng_text_reg/07/07.txt

1 line
172 B
Plaintext

\v 7 Uwe wako ni kana mti wa mtende, na matombo yako ni ka na vifungu vya matunda. \v 8 Matombo yako na yawe kana vifungu vya mizabibu na halufu ya npua yako ni kana mapea.