bou_sng_text_reg/04/12.txt

1 line
331 B
Plaintext

\v 12 Dada yangu, mwa yangu ni bustani yeku fugwayo, bustani yekufungwayo chemchem yekufugwayo kwa mhuli. \v 13 Matambi yako ni kisaka cha miti ya mikomamanga yenye matunda mbai mbai, na ya mimea ya hina na nardo. \v 14 Nardo na zafalani, mchai na mdaasini hamwena aina zose za uvumba, manemane aa udi na aina mbaimbai za manukato.