bou_sng_text_reg/04/10.txt

1 line
296 B
Plaintext

\v 10 Ni namna yani ukundiso wako weivyo mtana, dada yangu mwai wangu! Namna yani zaidi ukundiso wako weivyo bola kuliko npombe na haufu ya malashi yako kuiko manukato yeyose. \v 11 Miomo yako, mwai wangu yadoda asai na maziwa viasi ya ulimi wako, halufu ya nguo zako ni inga malashi ya Lebanoni.