bou_sng_text_reg/02/12.txt

1 line
241 B
Plaintext

\v 12 Maua yaawia mwesi, ukati wa kuhunguza matambi na wadege kuimba na sauti za ngiwa zassikika mwesii yetu. \v 13 Mti wa tini udaahaza tini zakwe kijani na mizabibu yativa, yaavya malashi yakwe, Enuka mpenzi ywangu, mtana ywangu weze nami.