bou_rut_text_reg/02/10.txt

1 line
457 B
Plaintext

\v 10 Ne akima mavidi mbele ya Boazi na kudonta mtwi wakwesi. akamwamba "Kwa mbwai nkipata kibali hee meso yako, hata hunijali mie mgeni? \v 11 Boazi akamjibu akamwamba, Nchambiwa yose wekugosoe hayo tangia mumeo ambwe mzimu. Kumbada tati yako, mami yako na sii we kuvyaigwavyo kumtongea mamiyako vyaa ukeza kwa wantu wesio kuwamanya. Yahwe akuihe kwa matendo yako. \v 12 Yahwe akuihe kwembokesa, Zumbe Mungu wa Islael ambaye sia mawawa yakwe upate guukio."