bou_rut_text_reg/04/03.txt

1 line
428 B
Plaintext

\v 3 Boazi akamwamba yuda jamaa ywa hehi. "Naomi mwekuuya kulawa mzi wa Moabu, ataga sehemu ya alizi yekuwayo ni ya kakaetu Elimeleki. \v 4 Nkifikiya kukujuza na kukwamba igue mbele ya awa wekwekaao hanu na mbele ya wagookezi wa wantu wangu. Ati wakunda kuigomboa igomboe, akini kana nkukunda kuigomboa unambie ili nimanye, kwaajii nkakkuna mtuhu wa kugomboa pasina weye na mimi mvunao. Nee uyo mtu mluhu akagombeka "Naigomboa."