bou_rut_text_reg/03/08.txt

1 line
230 B
Plaintext

\v 8 Henaho kio kikuu Boazi akavituka. akahituka, kumbe via mvyeengwa kawa kahitiwa he miundi yakwe! \v 9 Akamwamba, "Wee u ndai? Akatamba'sa, "Miye ni Ruth mndima ywako wa kivyee. Nigubika shuka yako hambu wee u mndugu ywa hehi."