bou_mic_text_reg/05/08.txt

1 line
302 B
Plaintext

\v 8 Masazo ya Yakobo yenda yawe miongoni mwe mataifa, miongoni mwa wantu wangi, inga simba gatigati ya kundi da ngoto. Wakati akemboka gatigati yao, enda awayate na kuwahaabua vipande vipande, na nkakuua kuwa na muntu wa kuwaokoa. \v 9 Mkono wako wendanulwe dhidi ya wankuu wako na wendalauwabanange.