bou_jdg_text_reg/01/11.txt

1 line
354 B
Plaintext

\v 11 Kuawa uko wantu wa Yuda watoana na wenyezi wa Debili (zina da Debili aho bosi nee diwa Kilias-Seferi) \v 12 Kalebu akagombeka, Yoyose ndie avamie Kilioas-sefeli na kuidoa, n'ndanimwenke Akisa, mwanangu ya kivyee awe mkaziwe. \v 13 Osinieli, mwana Kenazi, mvunawe da Kalebu, akaiteka Debili, na Kalebu akamwenka Akisa, mwanawe ya kivyee awe mkaziwe.