bou_jdg_text_reg/09/17.txt

1 line
314 B
Plaintext

\v 17 Ukafikizi kuwa tate katoana kwa ajii yenu nee aambaza maisha yakwe na akawahonya kuawa mwe mkono wa Midiani - \v 18 Iya ivyo kuyenukia nyumba ya tate na kwakoma wanawe wanthu sabini mwe iwe dimwe. Na kumtenda Abimeleki mwanangwa wa mndima wakwe atende mfaume mwe wakuu wa Shekemu kwa ajii ye ni mndugu ywenu.