bou_jdg_text_reg/20/36.txt

1 line
451 B
Plaintext

\v 36 Basi asikai wa Benyamini akaona neewashindwa. Wana wa Israel wekuwao walavya sii kwa Benyamini, kwa kuwa newawa wakataazia wantu wekuwaikao kwe nafasi zekufiswazo chongoi ya Gibea. \v 37 Nee wantu wekuwao wekufisao wakenuka na kinyanyi na wakamguuka Gibea. Nao wakakomwa kia mntu mwekwekaa mwe mzii kwa uhambu wao. \v 38 Utangio wekupangwao kati ya asikai wa Israel na wantu wekwefisao kwa sii indaiwe zunde kuu da mosi indaiawie chongoi ya mzi.