bou_jdg_text_reg/20/05.txt

1 line
342 B
Plaintext

\v 5 Mwe kio, da Gibea wani hangania, Wakazunguka nyumba wani taangia kunikoma. Wamgwia na kumwengiia suria wangu, nee afa. \v 6 Neenkimdoa suria wangu na kumsenga mwii wakwe vipande, na kuika mwe kia sii ya urithi wa Israel, kwa kuwa wagosoa ubanasi unu na ubahau kwe Israel. \v 7 Sasa nywie Waisrael wose, Lavyani mbui na Ushauri wenu hanu.