bou_jdg_text_reg/21/01.txt

1 line
331 B
Plaintext

\c 21 \v 1 Sasa wantu wa Israeli nee wahindi uko Misipa. "Nkakuna hata yumwe ndiye amwenke mwanawe ya kivyee kutegulwa ni Benyamini." \v 2 Nee wantu waita beseli, wakekaa uko mbele ya Zumbe Muungu hata guoni; wakaia kwa sauti nkuu. \v 3 Wakatoa vuzo, "Kwa mbwai, Zumbe, Muungu ya Israeli, kwamba kabila detu dimwe daga daga ivyeo?"