bou_jdg_text_reg/06/28.txt

1 line
349 B
Plaintext

\v 28 Keo ukati wantu wa mzi wekwendaho kwenuka, hemviko ha Baali Ibomwolwa na Ashela ikuwayo hehi nayo isengwa, na ng'ombe wa kaidi kalavigwa kafaa ya hemvika yekuzengwayo. \v 29 Wantu wa mwe mzi wakambiana, Ni ndai mwekugosoa mbui inu? Wekuaho wakatamwiia na watuhu na kuonda majibu, wkagombeka. Gideoni mwanawe da Yoashi nee mwekugosoa mbui inu."