bou_jdg_text_reg/20/45.txt

1 line
372 B
Plaintext

\v 45 Wakahituka na kuguka kuekekea jangwani hadi mwamba wa Rimoni. Waisraeli wa nee wakomwa zaidi ya elfu kati yao babaani. Wakaendeea kuwabasa, wakabasa kwa sia nkuu kuita Gidomu, na uko wakawakoma elfu mbii zaidi. \v 46 Asikai wose wa Benyamini wekuseao msi uwo neewawa wantu ishiini na shano wekuwao neewahina kutoana kwa uhamba. Wose newawa neewakamanyika kwe nkondo.