bou_jdg_text_reg/19/05.txt

1 line
296 B
Plaintext

\v 5 Msi wa nne wenuka mapema na kweandaa kuhauka, mia tati yakwe da mndee akamwamba mkwewe, "Ue na nguvu na mkate kidogo, ukaawa aho wadaha kuita." \v 6 Basi ao waidi wakekaa wakada na kunywa hamwe. Akaawa aho tati yakwe da mndee akamba, Tafazai uwe tayali kwekaa iki kio, ha kua na ukati mtana;