bou_jdg_text_reg/19/01.txt

1 line
327 B
Plaintext

\c 19 \v 1 Mwe misi iyo, ukati nkakuna mfaume mwe Izilaeli, nee kuna muntu, Mlawi mwekuae akekaa kwa mda kidogo mwe eneo da hae ya sii ya Eflaimu. Kedoea mvyee, masulia kuawa Betulehemu uko Yuda. \v 2 Mia mkazie nkekuwa mwaminifu kwake; akahauka na kuuya kwa tati yakwe uko Betulehemu ya Yuda. Kekaa uko kwa muda wa miezi mine.