bou_jdg_text_reg/17/03.txt

1 line
380 B
Plaintext

\v 3 Akavuza vipande 1,100 vya hea kwa mamiyakwe na miyakwe akagombeka, "Nkiikaa hea izi kwa ZUMBE, kwaajii ya mwanangu kuzigosoa na kuzisongoa takwimu za chuma. \v 4 Kwa ivyo ivi sasa nawavuzia. "Ekumvuziaho mamiyakwe hea, mamiyakwe akadoa vipande mia mbii vya hea akawenka mndima wa chuma ambao kawagosoa kuwa mzimu, na kusongoa takwimu za chuma, na wakaikwa mwe nyumba ya Mika.