bou_jdg_text_reg/12/13.txt

1 line
325 B
Plaintext

\v 13 Baada ya uyo. Abdoni mwana ywa Hileli, Mpirathoni, akawa muahazi wa Israeli. \v 14 Kawa na wana alubaini na Wezukuu saasini. Nee wakakwea Mpunda sabini yee naye akawaaha Israeli kwa miaka nane. \v 15 Abadoni mwana ywa Hileli, mpirathoni, akambwa mzimu akazikwa uko Pirathoni mwe sii ya efraimu, mwe kiima cha Waamaleki.