bou_jdg_text_reg/09/22.txt

1 line
424 B
Plaintext

\v 22 Abimeleki akatawala Israeli miaka mitatu. \v 23 Muungu akatuma loho mbaya kati ya Abimeleki na viongozi wa Shekemu. Viongozi wa Shekwemu viongozi wasaliti uaminifu wekuwaonao akina Abimeleki: \v 24 Muungu kagosoa Ivyo kwa aji ya ubanasi wekugoso lwao kwa wana sabini wa Yenubaali uihize nkuu, Abimeleke mndugu ywao andaawajibu kwa sia ya kukomwa na wanthu wa Shekemu. nd'a wawajibushwe kwa kuwambiza kuwakoma waumbuze.