\c 1 \v 1 Baada ya Yoshua yekusiaho, wana wa Ziladi wamuuza Yahwe wakagombeka, "N'ndai ndiye awashambulie basi Wakaanani kwa ajii yetu, ili kutoana nao? \v 2 Yahwe akagombeka, "Yuda n'ndaamishambulie. Kaua, nkimyenka kumiiki sii inu. \v 3 Wantu wa Yuda wakawamba wana wa Simoni, ndunguze, "Soo hamwe naswi mwe eneo detu ambado tenkingwa ili kwa hamwe titoane na Wakanani. Naswiswi pia n'ndatiite kwe ntendeo mwekwekigwayo. "Basi kabila da Simoni wakaita hamwe.