\v 38 Ivi nee ikulawiavyo Gideonu akenuka mapema wakeo, akaifumbua babu na akauavya mnyozu mwe babu, wa kutosha kumemeeza bakui kwa mazi,