\v 7 Nee msi waAhasuelo Altashasta, mithledathi, na tabeeli wezie wakamgondea Ahasuelo. Baua igondwa kiaabu na kutafasiiwa. \v 8 Lehumu jemadali na Shimshai mgonda wakagonda ivi kwa Altashasta kuusu Yelusaeni.