bou_1ki_text_reg/01/32.txt

1 line
404 B
Plaintext

\v 32 Mfaume Daudi akamba, "Netangiani kuhani, nabii Nasani na Benaya mwanangwa ywa Yehoyada." Nao wakeza hemeso hemeso ya Mfaume. \v 33 Mfaume akawamba, "uwadoe wandima wangu, bwana ywako na umtende Seemani mwanangu akwe uanga ya nyumba yangu na mkamseeze mpakasi Gihoni. \v 34 Na Sdoki kuhani na nabii Nasani wamgimbike atende Mfaume ywa Isilaeli na magunda yatoigwa, "Mfaume Seemani na wekae milele!'