bou_1ki_text_reg/05/17.txt

1 line
234 B
Plaintext

\v 17 Kwa amli ya mfaume wakaeta maiwe makuu ya samani kwaajii ya kulaza msingi wa hekalu. \v 18 Kwa iyo wazengaji wa Seemani na wazengaji wa Hiramu na Wagebaliti wakagosoa ndima ya kusenga na kuandaa mbao kwa ajii ya zengo da hekalu.