bou_1ki_text_reg/03/07.txt

1 line
374 B
Plaintext

\v 7 Na sasa, ZUMBE Muungu wangu, kumgosoe ya mtumishi wako kuwa mfaume mwe nafasi ya Daudi tate japo mie ni mwana mteke. Nkimnya namna ya kwngia na kuawa. \v 8 Mtumishi wako yuko gatigati ya wantu wako wekusaguao, bunga kuu, Wantu wengi wesiokutaaziwa. \v 9 Kwa iyo umwenke Mtumishi wako moyo wa kudaha kuahwa wantu wako. Kwani ni ndai adahaye kyahwa wantu wako awa wangi?"