bou_1ki_text_reg/03/06.txt

1 line
303 B
Plaintext

\v 6 Kwa iyo Semani akagombeka, "kuonesha uaminifu wa kiapo kikuu kwa Mtandima wako. Daudi tate ywangu, Kwa ajii kenda mbee zako kwa ukwei na uaminifu mwe haki ya moyo na mwe unyofu wa moyo. Kuditunza kwa ajii yakwe iki kiapo kikuu kwa uaminifu na kumwenka mwanawe kwekaa mwe kiti chakwe cha enzi ivyeo.