bou_1ki_text_reg/09/15.txt

1 line
364 B
Plaintext

\v 15 Vitongeavyo nee vigezo ambavyo mfaume Seemani kaviikwa ili kuzenga hekalu sa Zumbe na Ikkulu yakwe, kuizenga milo na kiwambaza cha Yerusalemu, na Hazori, Megido, na Gezari. \v 16 Farao mfaume wa Misri nee kaita kuiteka Gezeri, akaigea moto, na kuwakoma Wakanaani mwe mzi. Akabinda Farao akamwenka mwanae ya kivyee uda mzi, mkaza Seemani kuwa zawadi ya hausi.