bou_1ki_text_reg/08/01.txt

1 line
341 B
Plaintext

\c 8 \v 1 Ukauka aho Seemani akawakonga wadae wa Israel wakuu wose wa makabila na viongozi wa ukoo wa wana Israel mbele yakwe uko Yerusalem ili wadengize dia sansuku da agano da Zumbe Muungu kuawa mzi wa Daudi ambao ni Sayuni. \v 2 Wagosi wose waIsrael waigania mbele ya Mfaume Seemani kwe wia mwe mwezi wa Ethanim, ambao ndio mwezi wa saba.