bou_1ki_text_reg/05/07.txt

1 line
304 B
Plaintext

\v 7 Hiramu ekusikiaho mbui za Seemani, akatamiwa mno akabombeka "Zumbe a abalikiwe ivyeo, ambae kamwenka Daudi wa hekima uanga bunga idi kuu." \v 8 Hiramu akatuma mbui kwa Seemani, akagombeka, "Ni uda ujumbe Nkikiupata wekunitumiao, Nenda niavye miti yose yamielezi na miti ya mibereshi ambayo waikunda.