bou_1ki_text_reg/01/35.txt

1 line
476 B
Plaintext

\v 35 Mkabinda mweze mkawa nyuma yakwe, nae n'ndaeze ekae hekiti changu cha enzi, kwani yee neendiye atende Mfaume hantu hangu. Nkimsagua yeye atende mtawala ywa Isilaeli na Yuda. \v 36 Benaya mwanangwa ywa Yehoyada akamtambaisa Mfaume, akamba, "Navitende ivyo! Na Zumbe Muungu ywa Mfaume bwana ywangu kasibitisha ido. \v 37 Inga via Zumbe ekuavyo na Mfaume bwana ywangu na awe na Seemani ivyo ivyo na kuitenda enzi yakwe kua nkuu kutendesa kuliko enzi ya bwana ywangu Daudi."