bou_1ki_text_reg/15/25.txt

1 line
278 B
Plaintext

\v 25 Nadabu mwana wa Yerobiamu kavoka kutawala uko Israeli mwe mwaka wa kaidi wa asa mfaume wa Yuda. Kaitawala Israeli kwa miaka miidi. \v 26 Akagosoa yekuayo maovu mbele ya meso ya ZUMBE nae akenda mwe sia ya baba yakwe, na mwe zambi yakwe kaisibaboisha Israeli kugosoa zambi.