bou_1ki_text_reg/08/57.txt

1 line
246 B
Plaintext

\v 57 Bwana Muungu ywetu awe hamwe na swisi enga ekuavyo hamwe na baba zetu asekutibada wala kutiteekeza. \v 58 Kwamba daganye mioyo yetu na yeye ili tiishi kwe sia zakwe na kuzitoza amle zakwe taatibu zakwe na maagio yakwe, ekewaagiao baba zetu.