bou_1ki_text_reg/01/18.txt

1 line
263 B
Plaintext

\v 18 Isasa, kaua Adoniga ni Mfaume na Bwana ywangu Mfaume nkana amanyado. \v 19 Kalavya kafaa ya makisai, ndama wekunonao, na ngoto wangi na kawakaibisha wana wose wa Mfaume, Abiasali kuhani, na Yoabu jemadali ywa jeshi, mia nkekumkaibisha. Seemani mndima ywako.