bou_1ki_text_reg/02/39.txt

1 line
336 B
Plaintext

\v 39 Akini mwishoni mwe mwaka wa n'tatu wandima waidi wa Shimei wakaguukia kwa akishi mwana ywa Maaka. Mfaume ywa Gati kwahiyo akamwambia Shimei. Wakamba. "Kaua wandima wako waita Gati," \v 40 Ikabinda Shimei, akenuka akakwea npunda ywakwe akaita kwaakishi uko Gati akwaondeza wandima wakwe. Akaita na kuwaeta wandima wakwe kuawa Gati.